Monday, November 9, 2015

MAGUFULI AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI,AMJULIA HALI BI HELLEN KIJO BISIMBA

Rais Dkt.John Pombe Magufuli akimjulia hali Mkurugenzi wa kituo cha Sheria na Haki za Binadamu(LHRC) Dkt.Helen Kijo Bisimba aliyelazwa katika hospitali ya Aga Khan Jijini Dar es Salaam baada ya kujeruhiwa katika ajali jana. (Picha na Freddy Maro, Ikulu)
 Rais Dkt.John Pombe Magufuli akimjulia hali Mkurugenzi wa kituo cha Sheria na Haki za Binadamu(LHRC) Dkt.Helen Kijo Bisimba aliyelazwa katika hospitali ya Aga Khan Jijini Dar es Salaam baada ya kujeruhiwa katika ajali jana.


Rais wa Tanzania Dk.John Pombe Magufuli amefanya ziara ya kushtukiza katika Hospitali ya taifa Muhimbili kujionea hali ya utoaji huduma kwa wagonjwa.
 Rais Dkt.John Pombe Magufuli akiwajulia hali wagonjwa waliolazwa katika hospitali ya Taifa Muhimbili wakati alipofanya ziara ya kushtukiza hospitalini hapo leo na kuwafariji wagonjwa.
 Rais Dk. John Pombe Magufuli akitoka katika jengo la MOI.
Rais Dkt.John Pombe Magufuli akizungumza na baadhi wananchi waliomweleza shida zao mbalimbali wakati alipofanya ziara ya kushtukiza katika hospitali ya taifa Muhimbili leo.
Rais Dkt.John Pombe Magufuli akiwajulia hali wagonjwa waliolazwa katika hospitali ya Taifa Muhimbili wakati alipofanya ziara ya kushtukiza hospitalini hapo leo na kuwafariji wagonjwa.
Rais Dkt.john Pombe Magufuli akizungumza na kuwapa moyo wauguzi katika hospitali ya taifa Muhimbili wakati alipofanya ziara ya ghafa kujionea hali halisi.
ais Dkt.john Pombe Magufuli akizungumza na kuwapa moyo wauguzi katika hospitali ya taifa Muhimbili wakati alipofanya ziara ya ghafa kujionea hali halisi.


5 comments:

  1. Hakuna jipya analofanya magufuli, hayo anayofanya sasa hivi yameshafanyika 1984 wakati Seif Shariff akiwa waziri kiongozi na rais akiwa ali hassan mwinyi

    ReplyDelete
    Replies
    1. Jipya ni wewe kuwa zezeta wa UKAWA, ambaye mizimu ya Fisadi Lowasa na laana iliyoachwa UKAWA na Dr. Slaa na Prof. Lipumba inaendelea kukutesa!

      Delete
  2. Sawa sawa kabisa hakuna jipya analolifanya magufuli lakini tofauti ni kwamba Seif Sharif alikuwa akiendesha kampeni ya kuwaondosha waunguja makazini na kuwaweka jamaa zake wa kipemba.

    ReplyDelete
  3. Stop being cynical. MTU anapofanya kazi nzuri unambeza. Akifanya kazi mbaya unaridhika. Tz tumempata rais. We love him ukitaka hama nchi

    ReplyDelete
  4. Mnyonge mnyongeni haki zake mpeni good job Mr president mwanzo mzuri

    ReplyDelete

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake