ANGALIA LIVE NEWS

Monday, November 16, 2015

MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN AZUNGUMZA NA VIONGOZI WA DINI WA MKOA WA DODOMA.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Viongozi wa Kamati ya Mahusiano ya Viongozi wa Dini Mkoa wa Dodoma, wakati alipokutana nao kwa mazungumzo kwenye Ukumbi wa Hazina Ndogo mjini Dodoma leo Nov 16, 2015. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Chiku Galawa (kulia) ni Mwenyekiti wa Kamati ya Mahusiano ya Viongozi wa Dini Mkoa wa Dodoma, Sheikh Ahmad Said Ahmed. Picha na OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akijadiliana jambo na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Chiku Galawa, wakati wa mkutano na Viongozi wa Kamati ya Mahusiano ya Viongozi wa Dini Mkoa wa Dodoma, kwenye Ukumbi wa Hazina Ndogo mjini Dodoma leo Nov 16, 2015.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Viongozi wa Kamati ya Mahusiano ya Viongozi wa Dini Mkoa wa Dodoma, wakati alipokutana nao kwa mazungumzo kwenye Ukumbi wa Hazina Ndogo mjini Dodoma leo Nov 16, 2015. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Chiku Galawa
Baadhi ya Viongozi wa Dini wa Mkoa wa Dodoma,wakimsikiliza Makamu wa Rais Mhe.Samia Suluhu Hassan, wakati akihutubia alipokuwa akizungumza na Viongozi wa Kamati ya Mahusiano ya Viongozi wa Dini Mkoa wa Dodoma kwenye Ukumbi wa Hazina Ndogo mjini Dodoma, leo Nov 16, 2015.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Viongozi wa Kamati ya Mahusiano ya Viongozi wa Dini Mkoa wa Dodoma, wakati alipokutana nao kwa mazungumzo kwenye Ukumbi wa Hazina Ndogo mjini Dodoma leo Nov 16, 2015. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Chiku Galawa
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan (katikati) Mkuu wa Mkoa wa Chiku Gallawa (kushoto) na Mwenyekiti wa Kamati ya Mahusiano ya Viongozi wa Dini Mkoa wa Dodoma, Sheikh Ahmad Said Ahmed, kwa pamoja wakisimama kuomba dua wakati wa mkutano na Viongozi wa Kamati hiyo,mkoani Dodoma leo, Nov 16, 2015
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiagana na baadhi ya Viongozi wa Kamati ya Mahusiano ya Viongozi wa Dini Mkoa wa Dodoma, baada ya kuzungumza nao kwenye mkutano uliofanyika kwenye Ukumbi wa Hazina Ndogo, mjini Dodoma leo Nov 16, 2015
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi wa Kamati ya Viongozi wa Dini Mkoa wa Dodoma, baada ya mkutano uliofanyika leo Nov 16, 2015 kwenye Ukumbi wa Hazina Ndogo mjini Dodoma

makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiagana na Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Viongozi wa Dini Mkoa wa Dodoma, Askofu wa Kanisa la KKKT Mkoa wa Dodoma, Kinyunyu Amon, baada ya mkutano uliofanyika leo Nov 16, 2015 kwenye Ukumbi wa Hazina Ndogo mjini Dodoma.

2 comments:

Anonymous said...

HUYU CHIKU GALAWA HATUFAI DODOMA.HAPA TULIKUWA MAPEMA NA DR REHEMA NCHIMBI,CHAPAKAZI ALIYEJALI WANANCHI WA VIJIJINI NA MATATIZO YAO,BAADHI ALIFAULU KUYATATUA.KIKUBWA NJAA KUBWA TULIYO NAYO HAPA MKOANI DODOMA KWA SASA. CHIKU GALAWA HATEMBELEI VIJIJI,HATUTEMBELEI WAHANGA,HATAFUTI UFUMBUZI,HATOI USHAURI.KIONGOZI GANI HUYU BALAA.YA KUORODHESHWA YAPO MENGI ILA TUU NISEME CHIKU GALAWA HAFAI HATA KUWA AFISA MTENDAJI WA KATA.VIONGOZI WETU,MNAPOTUTEULIA WATU KUJA DODOMA KWANZA NA NYINYI MUWE MAKINI NA UELEWA KAMILI WA SHIDA NA MATATIZO YA MKOA HUU.NI MENGI.MSITULETEE MABISHOO WA KUJA KUWAPOKEENI AIRPORT NA WATAALAMU WA SHEREHE ZA MATUMIZI.TUNA IMANI MHESHIMIWA MAGUFULI ATAKISIKILIZA KILIO CHETU AMUFUKUZE KAZI GALAWA-GALASA.AKIMHAMISHA,KAPELEKA KILIO KWINGINE.

Anonymous said...

dodomatunaitwa koloni la ccm,lakini ccm haitupendi.wanatuona kama mataahira.barabara mbovu mno,zahanati chaaache,maji balaa.shida milioni.galawa yupo dar siku 300 kwa mwaka.