ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, November 8, 2015

MKAKATI WA KUKABILIANA NA UGONJWA WA KIPINDUPINDU.

Mratibu wa Magonjwa ya Milipuko Mkoa wa Dares Salaam, Victoria Bulla akifungua semina ya siku moja kwa ajili utoaji wa elimu ya ugonjwa wa kipindupindu kwa waaandishi wa habari kwa niaba ya Mganga Mkuu wa mkoa huo ,iliyofanyika leo kwenye hoteli ya New Afrika jijini Dar es Salaam.
Dkt.Mary Kitambi kutoka Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, akizungumzia kuhusu Serikali inavyokabiliana na ugonjwa wa kipindupindu kwa kuwashirikisha wadau mbalimbali katika semina ya siku moja kwa ajili utoaji wa elimu ya ugonjwa huo iliyofanyika leo kwenye hoteli ya New Afrika jijini Dar es Salaam.
                     Picha ya pamoja

No comments: