ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, November 8, 2015

MNUSO WA PARTY NYEUPE BALAA SPRINGFIELD, MASSACHUSETTS

Madj wa Dj Nassa na Dj Maka wakirusha wadau wa Massachusetts na viunga vyake siku ya Jumamosi Novemba 7, 2015 kwenye White Party iliyotia fora na kuweka rekodi ya White Party iliyokua haina kiingilio
Wadau wakiselebuka.
Hajat Kibodya akizima mishumaa kwenye siku yake ya kuzaliwa ilivyofanyika siku ya Jumamosi Novemba 7, 2015 Springfield, massachusetts.
Walimbwende wakiwa katika picha ya pamoja.

Wadau wa pati nyeupe wakipata picha ya pamoja  huku rumba likiendelea

Picha ya pamoja.
Ukodak moment.
Kwa picha zaidi bofya soma zaidi


7 comments:

Anicetus said...

Congratulations to all: safi sana, mlipendeza na mlifurahi sana. Huu ni mfano wa upendo, ushirikiano na maendeleo ya Jumuiya zote.- Love you all.

Anonymous said...

White party kunamtu kavaa kaki mwengine kavaa nyeusi wabongo bwana ukiacha kitenge shida hahahaaa mmependeza wadau msema kweli usichukie.

Anonymous said...

Pengaza mdogo wangu zainab Lukale

Anonymous said...

wamependeza wamelazimisha, shapeless

Anonymous said...

wabongo big nose.

Anonymous said...

Dada zangu wakitanzania pungezeni unene chapati na maandazi waachieni watoto

Anonymous said...

Haters๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚, keep hating, white party ilikuwa the bomb, congratulations waandaaji๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†