Thursday, November 12, 2015

MWENYEKITI WA CCM DKT JAKAYA KIKWETE AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU NA HALMASHAURI KUU YA CCM JIJINI DAR ES SALAAM LEO


Mwenyekiti wa CCM Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiongoza Kikao Cha Kamati Kuu na Cha Halmashauri Kuu ya CCM jijini
Dar es salaam ambacho kimehudhuriwa kwa mara ya kwanza na Rais wa Awamu ya Tano Dkt John Pombe Joseph Magufuli.

PICHA NA ISSA MICHUZI WA IKULU

No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake