Wednesday, November 4, 2015

Rais Kikwete amwapisha Katibu Tawala Mpya wa mkoa wa Lindi

Katibu Tawala Mpya wa Mkoa wa Lindi Bwana Ramadhani Kaswa akila kiapo mbele ya Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete ikulu jijini Dar es Salaam jana(picha na Freddy Maro)

No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake