Friday, November 6, 2015

RAIS MAGUFULI AKIWA OFISINI KWAKE SIKU YA KWANZA

unnamed  
Rais Dkt.John Pombe Magufuli akifanya kazi ofisini kwake ikulu jijini Dar es Salaam leo ikiwa ni siku yake ya kwanza ofisini tangu alipoapishwa kuwa Rais wa awamu ya tano.  (Picha na Freddy Maro)

No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake