Friday, November 6, 2015

RAIS MAGUFULI AKUAPISHA JAJI MASAJU KUWA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI

Rais Dk. John Pombe Magufuli, leo asubuhi amemuapisha Bw. George Mcheche Masaju kuendelea kutumikia nafasi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali, katika hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam.

No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake