ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, November 5, 2015

WATU SABA WAFARIKI NA WATATU BADO HAWAJAPATIKANA BAADA YA BOTI KUZAMA KILWA MKOANI LINDI

Watu 7 wamefariki dunia wengine 3 bado hawajapatikana katika matukio mawili tofauti ya kuzama kwa boti 2 zilizokuwa zimebeba abiria kuelekea katika kisiwa cha Songosongo Kilwa mkoani Lindi.
Kamanda wa Polisi mkoani humo Renata Mzinga amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo.

endelea kutufuatilia kwa taarifa zaidi


CHANZO: ITV TANZANIA

1 comment:

Unknown said...

Hongera sana Liberatus ingawa hukushinda lakini kuna ambayo umejifunza pia.. Next utaenda umejipanga na inshallah utafanikiwa!!Nakupongeza sana kwa ujasiri na uvumilivu uloonesha..vita ya kuingia mjengoni 2020 naomba uianze sasa... tupo pamoja.
mdau wa UK