WIZARA YA ARDHI YAENDELEA NA UBOMOAJI WA NYUMBA ZILIZOJENGWA KATIKA MAENEO WAZI NA WAVAMIZI WA VIWANJA
Kijiko cha Manispaa ya Kinondoni kikibomoa nyumba ya Deus Kisisiwe iliyopo Block J Mtaa wa Libermann Mbezi Beach jijini Dar es Salaam, leo. (Picha na Francis Dande)
Ofisa wa Polisi akichukua picha wakati kijiko cha Manispaa kikiendelea na ubomoaji.
2 comments:
Anonymous
said...
Hii ndio Serikali iliyojengwa na awamu ya 4. Kwani tangu msingi wa nyumba husika unaanza na hadi nyumba kukamilika, shirika la umeme lilikubali kuweka umeme, maji yalikubalika na hata kampuni ya simu ina maana manispaa na ardhi kwa ujumla walikuwa hawako kazini kuyatambua haya na kusimamisha ujenzi hata kimahakama ili kuepuka kupoteza gharama. Ni kwa nini wizara nzima ya Ardhi na maendeleo ya miji hawatendi kazi zao.ipasavyo na mjenzi asiruhusiwe kuanza ujenzi mahali bila kibali na namba ya usajili kuwekwa wazi na kulipia pia. Huu ni uharibifu wa mali za wananchi na hauvumiliki...
Ki ukweli zoezi si baya kwani linaruhusu maeneo yaliyokusudiwa kutumika kwa matumizi sahihi na ya wengi.Ila jambo moja na la msingi ni kuwa hawa watu wealiojenga mimi naamini kwamba wao sio wafamizi kama ambavyo wanatambulika kwenye zoezi hili,yapaswa wahusika wote waliohusika kuwapatia viwanja na nyaraka za umiliki na pia vibali vya kuendeleza,nao wachukuliwe hatua kali ili iwe fundisho kwa wengine kuacha kuwaingiza wananchi kwenye matatizo yasio na sababu.Serekali inabidi kuwatafuta hata kama wameacha kazi au kuhamishwa vituo vya kazi wafilisiwe ili kufidia wala hasara walizowatia watu wasio na hatia

Post a Comment