HAPA KAZI TU
Wakina mama wa jijini Dar wakiitikia wito wa Mhe. Rais Magufuli wa kufanya usafi kama ishara ya kuadhimisha sherehe ya Uhuru na kuchukua headline ya "UHURU NA KAZI" kutoka kushoto ni Flora Mahuve, Mama Zai na Mary Mwanyika wote kutoka Ofisi ya Mhasibu Mkuu wa Serikali, Hazina.
No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake