ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, December 19, 2015

Maandamano ya Zadia United Nations Headquarters New York City

6 comments:

Anonymous said...

Jamani lets be serious. Maandamano ya watu 17! I cud fit this crowd in my kitchen!! In addition naona watu wa familia moja tu na wazungu ambao labda waliwapa usafiri! Furthermore, mbona hiyo familia ni ya CUF? Inakuwaje walijiita ZADIA? Hata hiyo lungha kuko walipo bado naona shida! Sasa "this enduva" ndo nini? Ndio matamshi ya endeavour?

Nyumbani CUF wanapokea mishahara na tunasubiri uchaguzi. Harakati za familia zitambulidheni hivyo na sio kuziita za jumuiya!

Anonymous said...

Mbona haraka kusema peaceful? Kwa kuogopa kuitwa nini? Kumbe waifahamu hulka yenu!!!!

Anonymous said...

Nyie CUF nendeni zenu chama cha Kiislamu.

Anonymous said...

Even wakiwa 10 thry are right and please dont bring religion on this issue. All you who are saying these guys are wrong basi its you idiots who need to go back to school and learn the constitution of Tanzania. Ujinga wa watu ndiyo maana nchi haiendelei na kukiwa na wapuuzi kama wa hapo juu ndiyo mfano wenyewe.

Anonymous said...

Tafadhali sana tusiingize mambo ya dini katika mijadala hii. Tanzania ya Nyerere na Karume haikutukuza hivyo. I may have differences with the guys lakini siwezi kamwe kuwabrand kidini. Furthermore, kwani kuwa Waisalamu kuna shida gani? Hebu tuendeleze tolorence, understanding na mutual respect inayoitofauitisha nchi yetu na nchi zingine.

Anonymous said...

Ukitaka mabadiliko ya kweli,panda ndege nenda ZNZ.Hakuna haki inayodaiwa wakati uwanja wa mapambano uko pembe nyingine ya dunia.Kama mkereketwa nenda kwenye ground.