Rais John Pombe Magufuli akitoa pole kwa mama Maria Nyerere na ndugu na jamaa wengine mapema leo January 11, 2016 nyumbani kwa mama Maria Nyerere , Msasani jijini Dar kwa kifo cha(mkwe wake aliyekuwa mbunge wa viti maalum kwa tiketi ya CHADEMA bunge la 10 Leticia Nyerere kilichotokea January 10, 2016 Maryland nchini Marekani
No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake