Tuesday, January 5, 2016

MAPINDUZI CUP 2016


Mpira umemalizika kwa timu kutoshana Nguvu baada ya matokeo ya sare 1 - 1,Goli la Yanga limefungwa na Vicent Bossou wakati Kipre Tchetche akifunga kwa upande wa Azam.

No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake