Monday, January 11, 2016

MSIBA DMV NA TANZANIA LETICIA NYERERE HATUKONAE TENA

Leticia Nyerere enzi ya uhai wake

Familia ya Leticia Nyerere ya Lanham, MD inasikitika kutangaza kifo cha mama Yao mpenzi kilichotokea tarehe 10 January 2016 nchini marekani. Mipango na utaratibu wa kusafirisha mwili inafanywa.
Msiba upo 9004 brightlea court, Lanham MD 20706.
Kama mila na desturi zetu tufike kuwafariji familia. Kwa maelezo zaidi wasiliana na :
Margareth mageni 240 462 9138
Emmanuel muganda 240 447 2801
Ramadhani kamguna 202 459 3839


Bwana ametoa. Bwana ametwaa na jina lake lihimidiwe

1 comment:

  1. Poleni wafiwa,
    Baba yetu wa Mbinguni amlaze mahali pema peponi.
    Mungu awatie nguvu.
    Raha ya milele uwape eeh Bwana, na Mwanga wa milele uwaangazie.
    apumzike kwa Amani. AMINA.

    ReplyDelete

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake