Naibu Waziri wa Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa, Dkt. Susan Kolimba akizungumza na Balozi wa Syria hapa nchini Mhe.Abdulmonem Annan, baada ya Balozi huyo kumtembelea Naibu Waziri kwa ajili ya kumpongeza na kuzungumzia namna ya kuimarisha mahusiano ya nchi hizi mbili.
Msaidizi wa Naibu Waziri, Bw. Adam Isara (kulia), akifuatilia kwa makini mazungumzo hayo. Picha na Reuben Mchome.
No comments:
Post a Comment