Friday, January 8, 2016

Picha Rasmi ya Rais Magufuli Yatolwa na Kuuzwa 15,000

2 comments:

  1. The President of Tanzania: No tolerance, no nonsense and hapa kazi tu.

    ReplyDelete
  2. Picha isiyo rasmi ikoje??tuache fikra potofu picha ni picha na kila raia wa tz ana haki ya kuweka picha ya rais wake (mh rais magufuli)hata kama amempiga yeye mwenyewe. Kutishia wananchi kuwa watachukuliwa hatua za kisheria sababu hajanunua picha kwa bei ya kifisadi sio sahihi. Waacheni wananchi wafurahie picha ya rais wao mh. Magufuli wanavyopenda. Tena mh rais angalia hawa watu waliopata ajira kwa kutumia migongo ya baba zao uwatumbue majipu ili waajiriwe watu competent wenye kujua wanachoongea.

    mdau UK

    ReplyDelete

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake