PICHA YA TUFANI YA THELUJI KUTOKA KWA WADAU
Theluji iliyoanguka usiku wa kuamkia Jumamosi Januari 23, 2016 eneo la Greenbelt, Maryland picha kutoka kwa mdau Seif Ameir
Picha kutoka kwa mdau Durham, North Carolina
Kama unapicha za snow unaweza tutumia djlukejoe@gmail.com au whatsup 301 661 6696
Daahhhh hili balaaah mpaka Grill lina Theluji ! Hiyo ngoma itesti kwa makini Spring na summer time iko njiani na Jiko limenuna ni soooo!
ReplyDelete