Dr.Temba akifafanua jambo kwa wageni waliotembelea hili kujionea machine hiyo ya kukaushia samaki na matunda. Machine hiyo hipo kwenye shamba la University of the District of Columbia (Agricultural Experiment Station. (AES) Beltsville. MD.
Mmoja ya wageni kutoka Gambia Africa akimsisitiza jambo Dr. Temba baada ya kuvutiwa na machine hiyo.
Dr. Temba akipata ukodak wa ukumbusho na mgeni huo.
Wageni walikuwa makini kumsikiliza pale walivyo kuwa wanapata maelezo ya jinsi machine itakavyo fanya kazi.
Associate Dean of Programs, William Hare, akipa ukodak ndani ya jengo kulikofungwa machine hiyo.
Temba Engineering Services Team.
Project inayofata hii ya kutengeneza machine ya kuzalisha baridi (Cool Solar Cube) kwa ajili ya nchi ya Zambia Africa. Mtanzania yeyote anaetaka kufika kwenye viunga hivi na kujionea machine hiyo unaweza kuwasiliana kupitia # hii +1-347-489-6532 labda ungependa kutengenezewa pale Mwanza, au Bwawa la Mungu kwa wale wa Same, Moshi au kwa wale wa pembezoni mwa ziwa Tanganyika au Dar, Zanzibar hata Lindi na Mtwara, au popote pale unavyoona unaweza kujiingizia kipato cha uzeeni bila kuvuja jasho la nguvu kazi.
3 comments:
Hongera shemeji
Mi nataka moja lakini namba mlizoziweka hapo hazifanyi kazi naomba tuwasiliane kwa Whats App namba yangu ni +255 715 850971
Asananteni sana kwa wale wanao fuatia muundo wa hizi machine na project mengine ya utaalam wa kisasa. Watu wengi wanapiga simu kutata maelezo zaidi na utafiti wake. aAndika kutumia email: temba@tembausa.com; temba66@gmail.com.
Phone: 011-347489 6532
Post a Comment