Monday, January 11, 2016

RAIS MAGUFULI AMJULIA HALI WAZIRI MKUU MSTAAFU SUMAYE ALIYELAZWA HOSPITALI YA TAIFA YA MUHIMBILI LEO

Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli akimpa pole Waziri Mkuu Mstaafu Mhe Freredick Sumaye 
alipokwenda kumjulia hali katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es salaam leo Jumatatu Januari 11, 2016
Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiongea na Waziri Mkuu Mstaafu Mhe Freredick Sumaye na Mama Esther Sumaye alipokwenda kumjulia hali katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es salaam leo Jumatatu Januari 11, 2016

PICHA NA IKULU

2 comments:

  1. Hongera sana muheshimiwa Magufuli kwa kweli wewe ni moja ya watanzania wa aina yake au niseme mwafrika wa aina kipeekee kabisa. Kwa kweli mueshimiwa raisi ni fundisho kwa wale wanaoichukulia siasa kama uadui. Lakini kiukweli siasa ni mgogano wa mawazo na sio mgongano wa watu, katika jamii husika katika kutafuta ufumbuzi wa changamoto zinazowakabili kwa njia ya amani. Muheshimiwa magufuli Kwa kwenda kumjulia hali muheshimiwa sumaye moja ya watu waliokuwa na maneno makali zaidi zidi yake kwenye campaign za uchaguzi uliopita amezihirisha kabisa ya kwamba ni kiongozi na mwanasiasa aliepevuka mweye kuweka maslahi ya Taifa na watu wake kwanza na siasa baadae. Hongera sana muheshimiwa Magufuli.

    ReplyDelete

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake