A'alaykum warahmatuLlahi wabarakatuh,
Ina Llillah waina ilaih rajiun.
Ndugu zetu wa kiislam, tumepata faradh katika mji wetu wa coventry, Jana (06/01/2016) ndugu yetu Abeid said (MPATE) ametangulia mbele ya haki. Ni wajib wetu waislam kumstiri muislam Mwenzetu.
Tunaomba michango yenu ili tuweze kumstiri ndugu yetu kwa chochote utakacho jaaliwa inshAllah.
Jina : Mohamed Saleh
Account number: 19891363
Sort : 30-92-33
Lloyd.
: 07939294471 (wanawake)
:07801750508 (wanaume )
Maziko tutawajulisha baada ya kupatikana mwili wa marehemu, InshAllah.
Tafadhali ukipata ujumbe huu mtumie na mwenzio
Shukran wa JazakumLlah khayran.
No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake