Saturday, January 23, 2016

TANGAZO

Ndugu watanzania tunasikitika kuwaarifu kwamba ndugu Yetu Dr Edmund IJumba ameunguliwa na nyumba yake huko 
144 Meadow Greek Dr. 
Landisville, PA 17538. 

Usiku wa kuamkia Leo. Bahati nzuri familia iliwahi kuokolewa na sasa iko hotelini tunajaribu kufanya fundraising ili Walau Kusaidia katika janga hili kubwa Tafadhali ukitaka kutoa pole IJumba anapatika katika simu #3132824108 
Na ukiweza tuma mchango wako hapa. https://www.gofundme.com/ijumbafamrecovery

6 comments:

  1. How about home owner insurance, how about rentals insurance.
    Please guys,open your eyes.
    We are in America.

    ReplyDelete
  2. Kaka,
    Hizo insurances will not cover the psychological effect of this disaster in the victims' minds. Wacha tuwasaidie ndugu zetu. Msaada wetu itakuwa ni dawa kubwa kwao kupona kuliko hizo pesa za insurance!
    Money is nothing. Wakijua kwamba Watanzania tumewachangia watafurahi zaidi na watasahau upesi yaliyotokea!

    ReplyDelete
  3. unajuaje kama walikuwa hawana insurance????? hebu kuwa sympathetic katika kipindi hiki kigumu this is not time to judge!

    ReplyDelete
  4. Kwanini insurance in terms of finances isicover psychological effect like counseling. Wapigie simu wape pole lakini kama wana insurance that should cover most things if not everything. I agree with first comment. The person who made the comment is not unsympathetic at all, just realistic.

    ReplyDelete
  5. poleni sana.
    ila kweli kuna bank inaweza kutoa mkopo wa nyumba bila kuwepo na insurance? mmmmh!

    ReplyDelete
  6. Mimi nafikiri hapa ni ubinadamu/ uTanzania wakusaidiana kwenye shida na raha wala sio vinginevyo. Kutoa ulichowezeshwa na Mungu sio dhambi. Hizi ndizo sadaka zenyewe ndugu zangu. Poleni kwa matatizo.

    ReplyDelete

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake