Friday, January 8, 2016

Tanzanian Mbwana Samatta wins African Player of the Year based in Africa Award

Mr. Mbwana Aly Samatta-2nd from left receiving an Award as the African Player of the Year based in Africa during an event that took place in Abuja, Nigeria on 7th January, 2016

C:\Users\malaler.FOREIGN\Documents\English header.jpg

Press Release


The Tanzania Ministry of Foreign Affairs, East Africa, Regional and International Cooperation wishes to inform the world and all football fans that Mr. Mbwana Aly Samatta, the African Player of the Year based in Africa is a citizen of Tanzania and not of Botswana or Tunisia as was reported by NBC Sports.com and several other international media. 

Mr. Samatta is one of the star players of the Tanzania national team (Taifa Stars) currently playing for TP Mazembe Club in the Congo DRC.

The Tanzanian icon was announced by the Confederation of African Football (CAF) as the African Player of the Year based in Africa in an event that took place in Abuja, Nigeria on 07th January, 2016. Mr. Samatta becomes the first player from East Africa to win the prestigious title.

The Ministry takes this opportunity to thank Mr. Samatta for placing Tanzania on the international football stage and congratulate him for the victory well deserved. 

Issued by:
Government Communication Unit
Ministry of Foreign Affairs, East Africa, Regional and International Cooperation
8th January, 2016

1 comment:

  1. Pongezi sana ndugu Samatta kwa juhudi zako na kufanikiwa kuwa mchezaji bora wa Africa kwa wale wachezaji wanaofanya kazi zao hapa barani Africa ila tumia nafasi hiyo kuwa ni mwanzo wa mafanikio na safari ndio kwanza inaanza ya kutafuta mafanikio zaidi. Vile vile hongera kwa kuliletea taifa la Tanzania heshima katika soccer vile vile kwa kuitangaza nchi kimataifa. Kwa upande mwengine utaona kwa kiasi gani watu wa mataifa mengine wanavyopata ugumu kuelewa kama kuna nchi Afrika inaitwa Tanzania. Taasisi zetu zinazoiwakilisha Tanzania kimaifa kwa miaka mingi zimeshindwa kuitangaza nchi ili itambulike na watu wa dunia. Michezo na sanaa ni moja ya njia muhimu kabisa ya kujitangaza duniani lakini kwetu sisi kwa miaka mingi sekta hiyo ya michezo na sanaa imeonekana kama sekta wa wuhuni na kutosaminiwa kabisa hadi kufikia kuondolewa katika program za mashule ni jambo la kusikitisha. Michezo na sanaa duniani ni ajira tena ajira nyeti zilizo na umuhimu wa aina yake kiuchumi. Lakini la msingi zaidi sekta hizo ni njia moja ya kutangazia sekta nyengine muhimu za kiuchumi kama vile utalii. Badala ya kutenga mabilioni ya pesa kuitangaza nchi kiutalii tena kwa nchi moja moja basi bora kuindaa timu bora ya riadha madhubuti na kuleta ushindani wa kweli duniani basi Olympic moja tu dunia zima itapata habari nini Tanzania . Tunaomba serikali ilioingia madarakani ya Magufuli iangaliew sekta ya michezo katika mtazamo mwengine kabisa, iwe kwenye mpira wa miguu, riadha, Boxing, tenis,basketball nakadhalika. Mfano kwenye soccer hasa kwenye timu ya taifa bila ya kumungunya maneno Charles Bonafasi mkwasa hafai kuwa kocha wa timu ya Taifa kama kweli tupo serious ya kutaka kupiga hatua ya pale tulipo sasa. Kutokana na mahitaji makubwa ya kiufundi wa kocha atakae weza kuipa ushindi Tanzania mbele ya timu kama Egypt au mbele ya Tunisia au Ivory coast simuoni mkwasa kuwa na mahitaji ya ufundi wa kuiwezesha Tanzania kuziondoa mashindanoni timu za mataifa niliyoyataja na hakuna njia Africa ya aiza kupata kushiriki Afica cup au kombe la dunia kama nchi itakuwa haina timu yenye uwezo wa kuzifunga timu nilizokwisha kuzitaja na nyenginezo kama Ghana,Nigeria nakadhalika. Kwa hivyo tunaomba wizara husika kusema enough is enough watanzania tumechoka kudharauliwa na wakati wa kujijengea heshima kimataifa ulishatupita siku nyingi, we are running from behind but we still have chance to prove ourselves to the world that we can do something better. Makocha wenye wa uwezo wa kimataifa tena wa viwango na wa bei chee mbona wamejaa tele duniani .

    ReplyDelete

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake