Sunday, January 10, 2016

TANZIA DMV NA TANZANIA LETICIA NYERERE HATUNAE TENA

Aliyekua Mbunge viti maalum Leticia Nyerere ameaga Dunia leo katika Hospitali ya Doctors Community iliyopo Lan ham, Maryland.  Msiba DMV upo 9004 Brightlea Court, Lanham, MD 20706. Taarifa zaidi baadae R.I.P. mama yetu tulikupenda lakini Mwenyezi Mungu amekupenda zaidi.

10 comments:

  1. Dadangu Pumzika kwa amani.

    ReplyDelete
  2. Mungu apokee roho yako ipumzike kwa amani. Mungu awapatie Amani watoto wako wabakie kwa umoja na mapendo juu yao. Poleni sana

    ReplyDelete
  3. Kila binadamu ataonja mauti, pumzika kwa amani. Amina!

    ReplyDelete
  4. Mungu akupumzishe mahala Pema Peponi dada yetu mpenzi. Wengi tutakukumbuka sana kwa ucheshi wako na ukarimu lakini haya yote ni mapenzi ya Mungu.

    ReplyDelete
  5. Mungu akupumzishe mahala Pema Peponi dada yetu mpenzi. Wengi tutakukumbuka sana kwa ucheshi wako na ukarimu lakini haya yote ni mapenzi ya Mungu.

    ReplyDelete
  6. POLENI WANAFAMILIA RIP LETICIA M NYERERE !

    ReplyDelete
  7. TUNAWAPA POLE WAFIWA WOTE !RIP LETICIA M NYERERE !

    ReplyDelete
  8. POLENI WANAFAMILIA WOTE AND PLEASE STAY STRONG. DADA YETU YUPO AT A BETTER PLACE NOW. AMEN.

    ReplyDelete
  9. ngoju uju uone,,, Her favorite thing?

    ReplyDelete
  10. R.I.P. love you so much with all my heart. Julius, Julia and Helena God is always with you you shall not fear.

    ReplyDelete

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake