Mshiriki wa droo ya kwanza ya Shinda Nyumba, Lina Mbazi akipokea zawadi ya fulana Mwakilishi kutoka Kampuni inayosambaza ving'amuzi vya TING, Anitha Chawe akitoa maelezo kuhusu king'amuzi hicho.Meneja Mkuu wa Kampuni ya Global Publishers, Abdallah Mrisho (kulia mwenye kofia) na Msimamizi Kutoka Bodi ya Michezo ya Kubahatisha, Bakari Maggid (kushoto) wakifuatilia kwa makini droo hiyo.
Abdallah Mrisho, Bakari Maggid na Mhariri Mtendaji wa Global Publishers, Richard Manyota (kulia).Kuponi ya mshindi wa bahati nasbu ikisakwa hadharani kwenye rundo la kuponiMajina ya washindi wa droo ya kwanza ya Shinda Nyumba iliyofanyika Mbagala Zakhem Dar.
Washiriki wakichangamkia magazeti ili waweze kujaribu bahati zao.Mshiriki akitumbukiza kuponi kwenye sanduku la kukusanyia maoni.Mshiriki akijaza kuponi ya Shinda NyumbaWanenguaji wakitoa burudaniMdada huyu akifanya yake.Vijana katika ubora wao.
Wakazi wa Mbagala wakifuatilia kwa karibu uchezeshwaji wa droo ya kwanza ya Shinda Nyumba.Jina la mshindi likisomwa hadharani
Mshindi akipokea zawadi ya fulana.
PICHA NA RICHARD BUKOS/GPL
No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake