Keki ikikatwa na Emelda Mwamanga kutoka Vital Voices Global Partnership kwa kushirikiana-na-Shamim Khan kulia na Edna Mdoe kutoka Tazania women Interfaith Network.
Baadhi ya wanawake walioshiriki katika kongamano la wanawake lililofanyika Serena Hoteli jijini Dar es Salaam jana wakifuatilia mada anuai. Kongamano hilo liliandaliwa na Taasisi ya Vital Voices Global Partnership limefanyika kuelekea maadhimisho ya siku ya wanawake duniani ambayo huadhimishwa kila mwaka ifikapo Machi 8

Mmoja wa watoa mada akitoa mada

Shamim Khan (kulia) na Edna Mdoe wakisoma hutuba kutoka-Tazania women Interfaith Network.
Wadau mbalimbali
Watoa mada wakipata picha
Meneja Masoko kutoka Jubilee Insurance, Francisca Mushi akizungumza
Baadhi ya watoa mada wakibadilishana mawazo
Baadhi ya wanawake waliohudhuria katika Kongamano hilo
Taus Likokola akifuatilia Mada
Modesta Mbughuni Mwenyekiti wa Malengo Women akitoa mada katika Kongamano hilo
Wadau wa kongamano wakifuatilia mada
Wadau mbalimbali waliohudhuria katika Kongamano wakipata picha ya pamoja
mtoa mada-Gloria Shechambo katika kongamano lililofanyika Serena Hotel Dar es salaam
Belinda Mlingo Katibu wa NGO ya TASOI
Dr Chris Mauki Kutoka chuo Kikuu cha Dar essalaam

Emelda Mwamanga kutoka Vital Voices Global Partnership
No comments:
Post a Comment