Bendi maarufu ya muziki wa dansi “Ngoma Africa Band” aka FFU yenye makao yake nchini Ujerumani,
Inawatakieni wadau wote popote pale mlipo “kila la heri na fanaka” katika sikukuu ya msimu wa Pasaka. bendi yenu “Ngoma Africa” inawambea amani na baraka. Pia msikose kupata burudani kamili ya Pasaka kwa kusikiliza nyimbo aka (Virungu vya FFU) at http://www.ngoma-africa.com au www.ngoma-africa.com, mawasiliano at contact@ngoma-africa.com.
No comments:
Post a Comment