ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, April 7, 2016

MSIBA HOUSTON, TX NA TANZANIA

UPDATE MSIBA WA HENRY KIHERILE

Ndugu  Wanajumuiya,

Tunasikitika kuwataarifu  juu ya mauti yaliyomkuta mwanajuiya mwenzetu hapa Houston Marehemu Henry Kiherile.

Marehemu alikumbwa na mauti na kuaga dunia jana-April/ 06/2016 usiku saa tano na nusu kwa kupigwa risasi mbili na kuporwa gari lake.

Mwili wa marehemu uko chini ya uchunguzi ukisubiri kupelekwa Funeral Home.

Ndugu Wanajumuiya tutakuwa na MKUTANO kwa ajili ya huu MSIBA siku ya Ijumaa (04/08/2016 ) katika anuani hii hapa chini :

Anuani   :    8107  Meadows Pond DR,
                  Missouri City, TX, 77459

Tarehe   :    April /08/2016 { FRIDAY }

Muda     :    6 PM

Henry ni  Mtanzania mwenzetu hapa Houston na ana Family members hapa.
Marehemu ni mpwa wa
Lucy Tenende, na pia ni Mpwa wa  Mathew Mohono.


Kwa taarifa zaidi wasiliana na:

Lennard Tenende (713) 540-6355

Lucy Tenende (832) 338-7222

Matthew Mohono (281) 804-6478

Imetolewa na :
THC Spokesman


R.I.P Bwana ametoa na Bwana ametwaa, jina la Bwana LIHIMIDIWE!

No comments: