Wednesday, May 4, 2016

AFISA MTENDAJI MKUU DAWASCO AIBUKA MFANYAKAZI BORA WA MWAKA KITAIFA.

Afisa Mtendaji Mkuu wa Shirika la Majisafi na Majitaka jijini Dar es salaam (Dawasco) Mhandisi Cyprian Luhemeja akipokea zawadi ya shilingi milioni 3.5 kutoka kwa Rais wa  Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Dkt. John Magufuli baada ya kutangazwa kuwa mfanyakazi bora wa mwaka kitaifa kwenye siku ya Wafanyakazi Dunia, Mei mosi iliyoadhimishwa  kitaifa mkoani Dodoma.

No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake