Monday, May 2, 2016

ANDREW SANGA'S LIFE CELEBRATION PARTY IN HOUSTON

"Kapumzike kwa Amani Andrew Nicky Sanga" - hii ni kauli inayoweza kumsindikiza mpendwa wetu kwenye nyumba yake ya milele. Baada ya misa ya kumuaga marehemu Andrew Nicky Sanga kulifanyika Party ya kukata na shoka kusheherekea jinsi maisha ya Andrew yalivyowagusa watu wengi katika safari yake ya miaka 36 hapa duniani. Party hiyo ilifanyika kwenye Ukumbi wa Sienna ulioko mitaa ya Bissonet jijini Houston. Pata picha za tukio hilo hapa chini.

Marafiki wa Andrew kutoka sehemu mbalimbali
Emmy akiwa na wageni waliokuja kumliwaza
Amani na Neema
Lydia Frisch na Aunt Pia

Mgeni akiwa na Martin, Shahali na Masoud

















































































































































































































6 comments:

  1. Napenda kuwapa hongera nyingi sana watu wa Houston kwa kuonyesha ni jinsi gani mlivyokua na umoja na upendo kwa kijana Andrew. Mimi simjui lakini niliguswa sana na kifo cha Drew.. Mwenyezi Mungu ampumzishe salama Amina.......

    ReplyDelete
  2. Kweli kulia kwa majuu!

    ReplyDelete
  3. Mmmh hizi tamadini mpya za mduara msibani...Mungu sustiri wajawako

    ReplyDelete
  4. Mungu atujaalie mwisho mwema wa hapa duniani.Kuna wakati najiuliza inakuwaje mtu anakwenda msibani amevaa nguo km anakwenda disco.
    Pengine ndio maendeleo hayo, labda mimi niko nyuma ya maendeleo.Mungu atusamehe madhambi yetu.Amen.

    ReplyDelete
  5. kwakweli wameharibu maana yote ya msiba.

    ReplyDelete
  6. Wewe hapo juuu unajuua kuwa Andrew alikuwa mtu wa raha, mtu wa fashion, mtu wa watu ... So it is important that people dance, dress good, in order to celebrate Andrew's life!!! Sasa unapo shangaaa Eti mbona watu wamevalia Mara mbona Hawalii unashangaza sanaaaaa!! Pole yako... Endelea kushangaaaa tu

    ReplyDelete

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake