Thursday, May 5, 2016

Baadhi ya Waheshimiwa Wabunge waishauri Serikali Kuhusu Kifo Cha KING DREW

14 comments:

  1. Hivi hawa ndio wabunge wetu hata hawajui ukweli kuhusu serikali ya marekani kufanya uchunguzi wa vifo. Inashangaza sana kuangalia interview ya kijinga namna hii. Kwanza kuelimishana tu marekani linapokuja suala la maisha ya binadamu hawajalishi wewe ni mmarekani au sio mmarekani uchunguzi unafanya sawia. Hawa wabunge vilaza sana, hawana point yoyote hapo

    ReplyDelete
  2. You are so wrong on that. Kweli wamarekani hawajali kuhusu raia wa nje. Kabla hujatoa kejeli zako za kujifanya unajua sana, do your research! Wewe ndio huna POINT!

    ReplyDelete
  3. Naona umejaa povu bila sababu kwani alichokisema Sugu kina elements za ukweli.linapokuja swala la investigation ya tukio kama kifo (USA) msukumo/urgency hutegemea sana race yako, kipato chako na hata utaifa wako.huu ni ukweli usio pingika.Akiuwawa raia wa Israel, Uk msukumo wa uchunguzi ni mkubwa zaidi kulinganisha na pengine auwawe raia wa Burundi.

    ReplyDelete
  4. malofa hayo - yatumbuliwe majipu

    ReplyDelete
  5. Point ni kwamba serikali yetu inalala sana hasa mabalozi wetu,inakuwaje mtanzania anauwawa halafu serikali inakaa kimyaa.,,,why???mbona wamarekani wakifa ughaibuni serikali Yao huwa inasimama imara kuhakikisha kwamba haki inapatikanaa!!!???kwanini sisi hatuwezi fanya hivyooo!!!? Huko India kwenyewe mtanzania alipouwawa serikali ilikaa kimyaa mpaka muheshimiwa Zitto aliposema bungeni ndo serikali ikajifanya kufuatilia!!!!mabalozi wanatakiwa waache kulalaaaa!!!!wanatutia unyonge sana sisi watanzania..

    ReplyDelete
  6. clean heart? ndio roho safi? Du! kizungu cha waheshimiwa wetu? clean sana.

    ReplyDelete
  7. Kwani Marehemu haijulikani kauawa na Nani ? Mbona hamuoni haya kukurupuka! Uongo sana eti marekani inadharau vifo vya immigrants!!
    Wewe Mtanzania wa kitongoji gani Marekani !! Halafu ati mnalaumu ubalozi?? Ubalozi unajua kwa vyo vyote, ila mazingira hayo mlitaka balozi afanyeje? Give balozi zetu a break!! Wako makini kabisa tena wanajihusisha na MAJANGA yetu kwa heshima na upendo!! Sugu, you get a life! On this huo UMBEYA !!

    ReplyDelete
  8. I suggest you get a life! Mazingira gani hayo unayoongelea? If anything, kuna watu wanasema kuna mkenya ambae alihusika hiyo siku. Kama Embassy ingeweza kufatilia zaidi na investigation ya Drew, watu wasingelalamika juu ya ubalozi. Kuna watanzania kadha wamepoteza maisha yao through violence, na hakuna hata kesi moja that serekali ya Tanzania or ubalozi, imesaidia katika kufatilia na hizo kesi. If Drew was your friend, basi lazma utataka justice for him. Na justice itapatikana only pale serekali ya Tanzania itakapo ingilia hili swala. Ubalozi wa Tanzania umemsaidia nani? #justicefordrew

    ReplyDelete
  9. Since wewe unajua nani kamua Drew, do us favor and tell us! Nani mmbea now!

    ReplyDelete
  10. Kwanini wewe na ubalozi msichukuane hadi police station mkaenda sema who killed our Drew. For once tutashukuru ubalozi umesaidia. By the way, the lead investigator wa Drew,will meet with Htown community in few days, tunakuomba uje ukutane nae, ili umpe jina la the killer. #justicefordrew

    ReplyDelete
  11. Hahahahahahha watu mnatoka mapovu sana kwanini? Tuanze na hao waliokuwepo kwenye tukio wamenyamaza na hawataki kusaidia police sasa mnafikiri police wataenda kila nyumba na kuuliza ni wewe umeua?? Acheni kukurupuka kama hamjui vitu mnauliza. Mnafikiri investigation itawekwa kwenye blog. Acheni kuropoka vitu msivyojua kwa taarifa yenu aliye piga risasi ni mmarekani na yuko ndani now na bado investigation inaendelea. Mnataka muambiwe nini sasa kuwa kala nini for breakfast, lunch na dinner??? Msinyooooooooo...na hao wabungeni wenu vilaza wamezoea kusoma blog za udaku wanafikiri kila kitu kinawekwa kwenye blog. Na huyo Sugu na prof. J hawana point next time just stay quite.Don't say anything.

    ReplyDelete

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake