Friday, May 20, 2016

BONDIA MANNY PACQUIAO USHINDI HUU UFILIPINO

Bondia Manny Pacquiao May 19 amefanikiwa kushinda nafasi ya Seneta katika bunge la nyumbani kwao Ufilipino. Amefanikiwa kushinda nafasi hiyo kwa kura milioni 16.
Pacquiao mwenye umri wa miaka 37 anakuwa miongoni mwa watu 12 walioshinda nafasi ya Seneta katika bunge la Ufilipino. Ushindi huu kwa bondia huyo unatoa taswira huenda siku moja akapata nafasi ya kugombea nafasi za juu za uongozi wa nchi hiyo hususani Urais.

No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake