Cesilia Francis akiingia ukumbini siku ya Ijumaa May 6, 2016 Clinton, Maryland
Cesilia Francis akipata ukodak na mumewe.
Cesilia akipata picha na dada yake.
Cesilia akimlisha keki mumewe.
Cesilia akipata picha na marafiki zake.
Cesilia akipata picha na familia ya mumewe.
Very nice!
ReplyDeleteCongrats!
ReplyDeleteHongera sana mdogo wangu! Sio utani...You made it. Great achievemen, keep it up!
ReplyDeleteCeci Nshomile! Safi sana. Hongera.
ReplyDeleteWell done
ReplyDeleteJipongeze my dear. College is not easy. Kazi nzuri. Hongera
ReplyDeleteYesu anaweza yote. Hongera dada
ReplyDeleteMtani NSHOMILE umemaliza bwana. Shule na watoto sio utani. Na Cum Laude.
ReplyDeleteHongera sana. Keep going! Mungu akubariki
Hongera ndugu yangu ...great!
ReplyDeleteGo girl....nice work. Mfano mzuri. Mungu mkuu
ReplyDeleteWow! Big accomplishments. Thumbs up...move forward.
ReplyDeleteYou made it cousin. Great!
ReplyDeleteWise steps. Congrats.
ReplyDelete
ReplyDeleteI missed this event. Hongera Cesi wangu F. I .B you got me girl
Muhaya kiboko! Mpaka umepiga nondo. I see, hongera sana sana. Move forward. Big up!
ReplyDeleteSafi sana.....
ReplyDeleteHongEra kwa masomo na ndoa
ReplyDeleteHongera sana Cesi great achievement!
ReplyDeleteShule ngumu...nakupa hongera sana. Umeweza. Safi sana
ReplyDeleteYes. You made it girl.....so lovely! More blessings.
ReplyDeleteSo proud of you dear Ceci! Congrats
ReplyDeleteDuh Ceci umeweza, unastahili sifa. Mwenzio nilidrop. Mfano bora Hongera sana.
ReplyDeleteHongera sana rafiki yangu Cecil mwenyezi Mungu azidi kukubariki always.
ReplyDeleteUmeweza my dear. Hongera
ReplyDeleteOh my girl! That's a very nice step you took. Congratulations.
ReplyDeleteHongera sana dada. Kazi nzuri. Uzidi kubarikiwa.
ReplyDeleteJipongeze my dear. You made it. Congrats
ReplyDeleteHongera kwa masomo. Uliimba vizuri sana. Kumbe wewe ni mtunzi pia unaimba! Gifted. Nilipenda sana sana wimbo wako wa gospel Ceci. Album unatoa lini? Naisubiri kwa hamu. You are talented jamani. Congratulations
ReplyDeleteHongera sana Ceci. Great.
ReplyDeleteMission accomplished! Keep going cousin. Congrats
ReplyDeleteWow! Nilikuwa sijaona graduation yako my dear. Mmependeza saana jamani. Mbona hongera ndugu yangu na masomo. Umefanya kazi nzuri ya kusifiwa. Mungu azidi kukubariki sana. Hongera sana
ReplyDeleteFantastic.
ReplyDeleteCongrats. Nakuona sister hutaki kanjanja. Umejichapia nondo yako mwenyewe. Safi sana.
ReplyDeleteWewe mtoto well done. Congrats!
ReplyDeleteWow! Mungu apewe sifa.! Congrats
ReplyDeleteKeep moving forward sister. Congratulations.
ReplyDeleteHongera sana rafiki yangu jamani. Mambo mazuri haya. Barikiwa zaidi.
ReplyDeleteChezea nshomile wewe! Hongera sana best.
ReplyDeleteHongera sana mama Scott. Watoto wamepata mwanga mzuri wakufuata. Mungu akubariki sana na familia yako.
ReplyDeleteCongratulations Nshomila na nondoz. Safi sana. Thumb up!
ReplyDeleteWow! Beautiful. Congrats
ReplyDeleteGracious! Congrats
ReplyDeleteCongrats! Good example. Big up.
ReplyDeleteKile unachopanda ndicho utakachovuna. Umevuna matunda mamii. Barikiwa na Hongera sana.
ReplyDeleteVery nice party. Congrats
ReplyDeleteGlory to God hallelujah!.so proud of you daughter. May almighty father our Lord in heaven bless you and you loving family. Congratulations.
ReplyDeleteWaiyuka omwana waitu. Bojo safi sana. Congratulations
ReplyDeleteWow! I always like the way you carry yourself; goals achievers. Great job. Congrats.
ReplyDeleteMmependeza wote! Nice. Congrats my dear.
ReplyDeleteWimbo wako Ceci honestly umenigusa. Album please. Cograts
ReplyDeleteWimbo wako Ceci honestly umenigusa. Album please. Nikotayari kununua kabisa. Cograts
ReplyDeleteMy go getta girl. Nice congrats
ReplyDeleteSafi sana. Hongera dada.
ReplyDeleteWow! Amazing Grace! Congratulations and peace be with you
ReplyDeleteCongrats! God is good!
ReplyDeleteI see Ceci. Safi sana. Hongera!
ReplyDeleteWell done. ����
ReplyDeleteWell done. ����congratulations!
ReplyDeleteThumbs up. Congratulations
ReplyDeleteHongera sister!
ReplyDeleteCeci hongera sana. Mungu aendelee kukubariki na kukuinua kama wimbo wako usemavyo. Amen.
ReplyDeleteGo sister...thumbs up. Congrats ��
ReplyDeleteBeautiful sister. Congratulations
ReplyDelete