Thursday, May 5, 2016

GONGA LIKE KAMA MACHO YAKO YANAKUBALIANA NA MACHO YANGU KUWA WABABE HAWA WANAFANANA.


Wakati Vicent Bossou akifanya vizuri ndani ya uzi wa Yanga kule uingereza kuna mwigizaji wa filamu za kibabe anayeitwa Adewale Akinnuoye-Agbaje hawa jamaa huwa nawafananisha sana, kila mtu anatawala uwanja wake kwa kipaji alichojaaliwa!wote ni jasiri,wababe na viongozi kweli. . . Japo wanashabihana kimuonekano na matendo yao lakini hawafahamiani na wala hawana undugu wowote.

No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake