Katika Reggae Time ya Pride FM wiki hii nilimzungumzia j(japo kwa ufupi) msanii Bunny Wailer. Mmoja wa waasisi wa The Wailers ambaye alijikuta akiwa ndugu na waanzilishi wenzake. Kaka wa Kambo wa Bob Marley na Shemeji wa Peter Tosh. Mwezi huu amefanya ziara ya kuadhimisha miaka 40 tangu atoe albamu yake ya kwanza Blackheart Man (1976)
Karibu
Kipindi cha REGGAE TIME kutoka Pride Fm Mtwara Tanzania hutayarishwa na kutangazwa na Mubelwa Bandio
Husikika kila Jumamosi kuanzia saa tisa kamili alasiri kwa saa za Afrika Mashariki
Radio hii yasikika duniani kote kupitia tovuti www.878pridefm.com na kwa walio Marekani na Canada wanaweza kuisikiliza kwa kupiga namba 832 280 0658
Ama kupitia TuneIn http://tun.in/seTTx
No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake