Thursday, May 19, 2016

MATUKIO MBALIMBALI BUNGENI DODOMA LEO

 Naibu Waziri wa Tamisemi, Seleman Jaffo akijadiliana jambo na Mbunge wa Busokelo, Atupele Mwakibete kwenye viwanja vya Bunge, mjni Dodoma. PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG
 Waziri Mkuu akijibu maswali ya wabunge , bungeni mjini Dodoma
 wabunge wakijadiliana jambo bungeni


 Wageni wakifuatia mwenendo wa Bunge
 Mbunge wa Jimbo la Ilemela,Anjelina   akijibu swali
 Spika wa Bunge akitoa pole kwa familia za waumini waliouwa msikiti jijini Mwanza na watu wasiojulikana waliokuwa wamevalia kininja
 Waziri Mkuu, Majaliwa kaizungumza na mmoja wa wabunge
Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo akiwasilisha hotuba ya makadirio ya Bajeti ya wizara hiyo.





 Mbunge wa Jimbo la Nkasi Kaskazini, Ali Keisy akichangia majadiliano ya makadirio ya Bajeti ya Wizara ya Nishati na Madini, bungeni Dodoma , ambapo aliutwatuhumu wapinzania wanaomsema vibaya Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo.

 Mbunge wa Ulanga, Goodluck Ulanga  (kulia), akizungumza na Waziri wa Nishati na Madini, Sospeter Muhongo kwenye viwanja vya Bunge Dodoma.
 Mbunge wa Jimbo la Chalinze, Ridhiwani Kikwete akiwa na wanafunzi waliotembelea Bunge
 Mbunge wa Jimbo la Chalinze, Ridhiwan Kikwete akichangia hoja wakati wa majadiliano ya Bajeti ya Wizara ya Nishati na Madini
Mbunge wa Mvomero, Sadick Murad akichangia hoja bungeni

1 comment:

  1. Riasi wetu Nyerere alipambana tuwe huru watanzania lkn leo serikali ya magufuli wanataka kuturudisha enzi za giza. Naomba tupambana ni haki yetu kuona bunge live democrasia ni haki yetu naomba tujipangeni in no time Tanzania itakua km jirani zetu vita na umwagaji wa damu Seikali ya tano inatupeleka kwneye dictatorship regime tena wa mwendo wakasi hakuna freedom of speech tunaishi na hofu na sio mda mrefu social media wanaziban nchi nzima jamani nawasihi muamka tupambane hata km ikibidi tuende UN na kwingine lkn tusikubali kurudishwa nyuma watoto wetu wanateteseka CCM wameiba kura, CCM wametumia nguvu kuwauwa ukawa, kuwanyamazisha, jeshi la polisi limevamia vituo vya kupiga kura vya ukawa wakachkua kura zetu na kuweka zao jamani watu wakilipuka wakichoka kuonewa hii inchi itakua km jirani zetu vita kwenda mbele tuamkeni wengi wetu tumejitoa ufahamu wakati serikali inaumiza wananchi na wakati uhuru wetu umekua tete hofu imetanda wananchi kuandika maoni ni kosa, kusema ukweli ni kosa, kuona upinzani au kuwasikiliza ni kosa kujua wanachokiongelea bungeni eti wanaedit bunge jamani demokrasia inakufa nchini naomba wewe mtanzania uamke hatuna mda magufuli anafanya kila kitu kwa kasi kubwa ili by the time tunasituka is too late tupo kwenye udictator, Jk kauza nchi gesi yetu kwa mchina tunaletewa bidhaa feki tumekaa kimnya naomba tuamke saivi kwa pamoja bila ya kujali vyama bali kujali haki zetu zakibinadamu na za watoto. Tufanye maandamano, tusambaze ujumbe, tuende International court cjui UN nk mpk kieleweke. Tanzania ni yetu sio ya watu binafsi mm na ww tunaweza kubadilisha mfumo wa nchi sio magufuli wala CCM. Mungu ibariki Tanzania

    ReplyDelete

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake