Friday, May 6, 2016

Mkurugenzi wa H/Singida Akirejea Nyumbani kwa Miguu Baada ya Kusimamishwa Kazi

Huyu Mheshimiwa DED akirejea nyumbani kwake kwa miguu baada ya kusimamwishwa kazi na Mkuu wa Mkoa wa Singida kwa kudaiwa kulipa mishahara hewa kwa watumishi nane na kusababishia Serikali hasara....

1 comment:

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake