Saturday, May 21, 2016

MWANACHUO BENADETHA MSIGWA ANAOMBA MSAADA ILI AKATIBIWE MACHO

Jamani wapendwa kuna mwanafunzi mwenzetu amepata upofu akiwa chuo na sisi kama wanafunzi tumeamua kumchangia pesa kama inawezekana akatibiwe ila inahitaji kama milion 30 kwa hiyo kwa yeyote atakaeguswa anaweza tuma chochote kupitia namba hizo hapo kwenye hicho kipeperushi.

2 comments:

  1. Mbona hujaweka tatizo ni nini na atatibiwa wapi na nani kwa milion 30? Na wapi wamemwambia wataweza ku restore macho yake.

    ReplyDelete
  2. Maswali ya mdau hapo juu yana tija lakini pia ingepaswa kuwe na tafsiri ya Kiswahili ya hili bandiko. Tusisahau bado tupo kwenye ya jamii ya watanzania na Kiswahili ndiyo lugha mama, kwa kutumua english tu unakuwa umebagua watu ambao pengine wanauwezo wa kusaidia ila wasipate msg sababu ya kikwazo lugha. Ni either mabandikio ya lugha zote mbili yawe yasambazwa pamoja au la kiswahili tu sababu naamini wataochanga zaidi ni waswahili kumsaidia ndugu yetu. Mwnyezi Mungu awe pamoja nawe

    ReplyDelete

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake