Wednesday, May 4, 2016

NDUGU NA MARAFIKI WAKAZI WA DAR-ES-SALAAM WAPOKEA MWILI WA DREW NA KUAGA KWA SAFARI YA DODOMA KWENYE NYUMBA YA MILELE



Waombolezaji wakiwa kanisani kuaga mwili wa Drew, ndugu na jamaa wa Dar Tanzania walipata nafasi ya Ibada ya misa kwa ajili ya Drew ndani ya kanisa la kilutheri Ubungo baada ya ibada ya misa mwili ulisafirishwa kwenda Kizota, Dodoma  kwa mazishi yatakayo fanyika kesho Alhamis saa tisa mchana kwenye makaburi ya Hajra Chinangali.

Ndugu na marafiki wa Dar-Es-Salaam wakiwa kanisani kuaga mwili wa Drew , kwa picha zaidi nenda soma zaidi.
 

3 comments:

  1. tarehe ya kufariki mbona imebadilishwa kwenye huo msalaba mweupe!

    ReplyDelete
    Replies
    1. kwasababu USA wako mbele masaa mengi sana TZ inaweza kuwa saa 12 jioni ijumaa kule asubuhi jmosi

      Delete
  2. Anon hapo juu ujajibu swali...tujaribu kuwa wastarabu jamani na tufwate sheria. When someone dies the time and date of death is recorded in the place/country of death usually on a death certificate. To change any part of the death record may actually be considered illegal.

    ReplyDelete

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake