Friday, May 20, 2016

OFISI ZA ARDHI HALMASHAURI YA JIJI LA MBEYA KICHEFUCHEFU,WAHUSIKA CHUKUENI HATUA

Muonekano wa Ofisi za ardhi katika Halmashauri ya jiji la Mbeya zikiwa katika sura ya kupendeza, nani ofisi nyeti sana katika halmashauri hiyo, jambo la kusikitisha ofisi hizo ukizitizama kwa muonekano wa mbele ni ofisi nzuri sana lakini kwa muonekano wa nyuma ni aibu, mazingira yake si rafiki na huduma zitolewazo katika ofisi hizo.
Swali wahusika wanalijua hilo ua bajeti ya ukarabati haipo sawa sawa.Picha Emanuel Madafa wa Jamiimoja blogu)
Muonekano wa Nyuma Ofisi za ardhi halmashauri ya jiji la Mbeya, madirisha yakiwa yamewekewa Mabati na nyavu za muda mrefu ambazo zimeshika kutu, inasikitisha sana nadhani hili ni jipu lililo komaa, cha kusikitisha zaidi ndani ya jengo hilo zipo pia ofisi za Mbunge wa Mbeya mjini.

No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake