familia ya Mfugale na familia ya Kivembele waliungwa mkono na jamaa na marafiki kushehereka kwenye sherehe ya komunio ya kwanza ya Nicole kivembele na kutimiza miaka 18 ya kijana wao Richard Kivembele na kubarikiwa kwake kiroho, katika hoteli ya Holiday Inn - Gaithersburg katika jimbo la Maryland U.S.A. sherehe hiyo kubwa ilifanyika siku ya jumamosi ya tarehe 21 mwezi huu wa tano, katika mji huo Gaithersburg.
Pichani kijana Richard Kivembele akikata keki yake ya kutimiza miaka 18.
Richard na Nicole wakiwa katika meza kuu.
mama kizaa chema akiwa na watoto wake wapendwa Nicole na Richard
katika picha chini Nicole akikata keki yake.
Maggy akiwa kwenye picha ya pamoja na wifi yake Hilda Kivembele
maggy katika picha na baadhi ya wageni waalikwa
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
1 comment:
Wasichana walipendeza sana, very classic and elegant. Sasa naelewa kwanini baadhi walitukanwa kwa bidii zote. Asante dj.luke kwa kutuwekea sura mpya, Tanzania kuna warembo. keep up the goodspirit DMV.
Post a Comment