Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Mhe. Dkt. Mary Nagu (Kulia) akifungua Semina ya Waheshimiwa Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kuhusu Kuanzishwa kwa TADB na Utekelezaji wa Majukumu yake. Kushoto ni Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Mhe. Mwigulu Nchemba.
Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Mhe. Mwigulu Nchemba (Aliyesimama) akizungumza
wakati wa Semina ya Waheshimiwa Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Kuhusu Kuanzishwa kwa TADB na Utekelezaji wa Majukumu yake. Kulia ni
Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Mhe. Dkt. Mary Nagu.
Mkurugenzi Mwendeshaji wa TADB, Bw. Thomas Samkyi akiwasilisha Mada kuhusu
Kuhusu Kuanzishwa kwa TADB na Utekelezaji wa Majukumu yake mbele ya Waheshimiwa
Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Mkurugenzi wa Mipango, Utafiti na Sera wa TADB, Bw. Francis Assenga akiwasilisha Mada
ya Mpango Mkakati wa TADB na Utekelezaji wake kwa Waheshimiwa Wabunge wa Bunge
la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Viongozi waandamizi wa TADB wakiandika hoja mbalimbali zilizokuwa zikiwasilishwa na Waheshimiwa Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakati wa Semina Kuhusu Kuanzishwa kwa TADB na Utekelezaji wa Majukumu yake.
Mkurugenzi wa Mikopo na Biashara wa TADB, Bw. Robert Pascal akiwasilisha Mada
kuhusu Utoaji wa Huduma za Mikopo na Matokeo Tarajiwa kwa Waheshimiwa Wabunge
wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Baadhi ya Waheshimiwa Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
wakifuatilia mada mbalimbali wakati wa Semina Kuhusu Kuanzishwa kwa TADB na
Utekelezaji wa Majukumu yake.
Baadhi ya Waheshimiwa Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
wakichangia mada mbalimbali wakati wa Semina Kuhusu Kuanzishwa kwa TADB na
Utekelezaji wa Majukumu yake.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Dkt. Florens Turuka (Kulia) akifuatilia
kwa makini mada mbalimbali wakati wa Semina Kuhusu Kuanzishwa kwa TADB na
Utekelezaji wa Majukumu yake.
Mbunge wa Babati Vijijini, Mhe. Jitu Soni (Katikati) akizungumza na viongozi waandamizi
wa TADB, Mkurugenzi Mwendeshaji wa TADB, Bw. Thomas Samkyi (Kushoto) na
Mkurugenzi wa Biashara na Mikopo, Bw. Robert Pascal (Kulia) wakati wa Semina Kuhusu
Kuanzishwa kwa TADB na Utekelezaji wa Majukumu yake.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Dkt. Florens Turuka (Kushoto) akiagana na Mkurugenzi Mwendeshaji wa TADB, Bw. Thomas Samkyi (Kulia) mara baada ya Semina ya Waheshimiwa Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kuhusu Kuanzishwa kwa TADB na Utekelezaji wa Majukumu yake.
No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake