Assalamu Alaykum Wa Rahmatullaahi wa Barakaatuhu
Uongozi wa Tanzanian Muslim Community of Washington DC Metro (TAMCO) Una Furaha Kuwakaribisha WaTanzania Wote kwenye TAMCO FAMILY DAY Cook Out
Saturday, May 21, 2016
(in shaa Allah)
Kuanzia Saa 8 Mchana – Saa 3 Usiku (2PM-9PM)
Pinecrest Local Park
301 St. Lawrence Drive, Silver Spring, MD 20901
Kwa Taarifa Zaidi, wasiliana na
Ali Muhammed 301 500 9762
Shamis Abdullah 202 509 1355
Iddy Sandaly 301 613 5165
Jasmine Rubama 410 371 9966
Asha Nyanganyi 301 793 2833
Asha Hariz 703 624 2409
Kutakuwa na Zoezi la Kukusanya Michango ya Mwaka na Pledges za Mwezi wa Ramadhan.
Tafadhali ukipata taarifa muarifu Mwenzio.
No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake