Friday, May 20, 2016

USIKU WA VITA, THE WEEKEND MIDNIGHT BATTLE

Sisi vijana, Kina Dada, Wazee na Kinamama pande zote za USA.
Tunatangaza usiku wa Ijumaa kuwa ni"USIKU WA VITA". Enough is enough for the devil,
Waefeso 6:12
Ungana nasi tena kwenye maombi ya Kukesha ya kila Usiku wa Ijumaa,
Kupambana na Kuharibu, Kutegua Kazi zote za Shetani anazo ziandaa kila Usiku wa Weekends dhidi ya Jumuia zetu, Familia zetu .
● Kumbuka Uwe mahali popote Usiku huu wa Weekend, Dam ya Yesu Ikufunike.
Ukiwa kitandani kwako kabla hujafunikwa na Usingizi, au Unajiandaa kwenda kwenye Party yeyote Usiku wa Weekend hii, Tafadhari, Jumuika nasi hata kwa saa moja, kwa saa yoyote utakayo taka.. Uone Mungu anavyo kupigania katika vita vyako dhidi ya Shetani
Ubarikiwe.
Tuma huu ujumbe wa USIKU WA VITA kwenye Group yako.

No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake