Advertisements

Saturday, May 21, 2016

VIDEO: KILICHOMG'OA WAZIRI KITWANGA HIKI HAPA


Rais  wa Jamhuri  ya  Muungano  wa  Tanzania Dr. John P. Magufuli jana  alitengua uteuzi wa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mheshimiwa Charles Kitwanga  kufuatia kitendo cha waziri huyo kuingia bungeni na kujibu swali linaloihusu wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi akiwa amelewa.
Tazama hii video hapa chini kujionea mwenyewe

No comments: