Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. John P. Magufuli jana alitengua uteuzi wa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mheshimiwa Charles Kitwanga kufuatia kitendo cha waziri huyo kuingia bungeni na kujibu swali linaloihusu wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi akiwa amelewa.
Tazama hii video hapa chini kujionea mwenyewe
No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake