Dkt. Azma Simba wa Kitengo cha Epidemolojia Wizara ya Afya,
Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto (kulia) ambaye alimwakilisha mgeni rasmi katika
ufunguzi wa Semina kwa Waandishi wa Habari kuhusu mabadiliko ya tabianchi akisoma
taarifa ya Mkurugenzi toka Wizarani leo 3 Mei, 2016 Jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Msimamizi
wa Mradi wa Mabadiliko ya Tabia Nchi Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii,
Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Geofrey Mchau.
|
No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake