Friday, May 6, 2016

Wema Sepetu ameamua kurudisha kwa jamii.


Miss Tanzania huyo wa zamani na muigizaji wa filamu, ameanzisha mradi mpya alioupa jina ‘Wema na Jamii’ ambapo ameanza kuzunguka kwenye shule mbalimbali jijini Dar es Salaam kuongea na wanafunzi na kuwapa vitu mbalimbali.

Yeye mwenyewe anasema #WemaNaJamii #MkonoWaBaraka #MtotoWakoNiWangu. Tazama picha hizo chini.

Credit: Bongo5.com 

1 comment:

  1. Wema mambo ya jamii ni muhimu sana. Ninafanya kazi na wanafunzi wa shule. Ningependa kuzungumza nawe about an Idea itakayotumika. How may I reach you?
    My e-mail is VRoseBaynit@gmail.com

    ReplyDelete

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake