MAJANGA WAJA LEO NA WAAGA LIGI MAZIMA COASTAL, MGAMBO JKT, NA AFRICANS SPORS
Mabingwa wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara msimu wa 2015/16, Yanga leo wamehitimisha ligi hiyo kwa kutoka sare ya mabao 2-2 dhidi ya Majimaji kwenye mechi iliyopigwa katika Uwanja wa Majimaji, Songea mkoani Ruvuma.
Picha na Musa Mateja / GPL
No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake