Monday, June 13, 2016

Askofu Gwajima amgeukia Rais Magufuli atoa Maneno Mazito

2 comments:

  1. Tunazikemea hila na hujuma zote za kiibilisi zinazofanywa na watu wachache kukwamisha juhudi zinazofanywa na viongozi wetu kuleta maendeleo yatakayo nufaisha kila mmoja wetu. Hao watu wachache, waliojawa na ubinafsi wa hali ya juu, wakashindwe na walegee, katika jina la Bwana wetu Yesu Kristu!

    ReplyDelete
  2. Gwajima itisha press ili useme hoja na siyo kutumia madhabahu

    ReplyDelete

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake